Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Mashia wa Afghanistan waliomboleza na kumlilia Imam Hussein (a.s) Siku ya Arbaeen kwa kuwa na Mahudhurio Makubwa yenye shauku katika Msikiti wa Imam Zaman (a.t.f.s) ulioko Mashariki mwa Mji wa Kabul.
28 Agosti 2024 - 17:07
Msimbo wa Habari: 1481365